Search

112 results for Dk Levy :

  1. Kilio cha wabunge, wakulima kuhusu ushuru wa korosho chasikika

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema wamepeleka maombi katika Wizara ya Fedha kutaka ushuru wanaoupata kwa asilimia 50, waupate kwa asilimia 100

  2. Mtaa unatangaza misa ni pisi kali ‘gredi wani’ Bongo

    Ni agizo rasmi la mtaa la wenye mtaa. Pisi kutoka kitaa, ubongo wake ukiwa umehifadhi elimu ya kidato cha nne tu. Tumbo likihifadhi na kufyatua watoto wawili tu mpaka sasa. Hajazaa ili mradi kazaa.

  3. Sikukuu za wanawake ni kubwa kuliko Krismasi na Eid?

    Kama bado hujagundua hili, basi pole yako. Sikukuu za wanawake ‘nau deizi zimetekova’, zinapewa uzito kuliko sikukuu kongwe kama Krismasi na Eid El Fitr. Achana na Mei Mosi, Sabasaba na kenge...

  4. King aliyeondoka na kutuachia majuto...

    ‘Yeah! Hii ni rimembaringi satadei’Aliyefanya tucheke mpaka mashavu yameremete kwa machozi. Ndiye huyohuyo aliyefanya tulie mpaka mashavu yetu yameremete kwa machozi. Hakika kifo hakijawahi kuwa...

  5. Oya! watu wangu wa Sinza futari 'hainaga' swaga 

    Nimetumia wiki yote iliyopita kufuturu mitaa ya Sinza. Kule nina familia, washikaji na kumbukizi nyingi za nyakati za balehe. Sinza imebadilika, na watu wake wamebadilika. Siyo Sinza ile tena.

  6. Mondi kabakisha kulinda brandi yake tu

    Kama wivu ninao na roho yangu inaumia, kweli wapendanao ndiyo maadui zikitimia... Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua... Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua...

  7. Binti yako kama hana elimu asikanyage Daslama

    Ngozi halisi ikaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayopaka. Kombinesheni yote hii ilizalisha kiumbe...

  8. ‘Valentaini dei’ pisi kali na mwendo wa vibabu

    Wikiendi iliyopita nilikuwa na mshikaji sehemu tunapiga vyombo. Kama kawa stori ni undezi wa mgawo wa umeme na laifu kwa ujumla. Masela huwa hatuna upimbi wa kusema watu kibwege bwege tu.

  9. Ndani ya Boksi: Wanyamwezi japo tumezaliwa Tizii

    Bongo Fleva chanzo chake ni muziki wa kufokafoka toka Unyamwezini (hip-hop). Taratibu baada ya ‘mabroo’ wa kitambo kuchana sana mistari. Baadaye miaka ya 2000 jamii kwa mapana yake ikaupokea...

  10. Tuwape maua yao tena ya kunukia kabla hawajafa

    Alikiba, Mr Blue, Chid Benz na wasanii wengi wenye makuzi ya Ilala na Kariakoo, wamepita katika mikono ya Dully. Kipaji ni jambo moja. Kujisimamia ni jambo lingine kubwa zaidi.

Page 1 of 12

Next